SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Watu Maarufu Waliopendeza Na Kuharibu Week Hii
Mitindo

Watu Maarufu Waliopendeza Na Kuharibu Week Hii 

Ni juma lingine tena tumelianza, week iliyo isha kulikuwa na matukio mengi na tumeona mitoko ya watu maarufu mbalimbali kuna ambayo ilituvutia na kuna ile ambayo ilituendea kushoto well tuone nani na nani wameingia kwenye list yetu ya waliopendeza

Miss Africa Tanzania ‘16  Julitha Kabete gave us 50 shades of blue in this slim fit blue dress, amemalizia muonekano wake na clutch,nude heels, hereni na perfect make up

Muigizaji na mwanamitindo Lucy Charles looke beautiful in a blue peacock bird dress, she rocked her natural hair low cut amemalizia na simple make up, she let the dress do the talking.

 

Muigizaji na mchekeshaji Idris Sultan tume m-spot akiwa amependeza amevalia blue trouser, na shirt akiwa amemalizia muonekano wake na sultan foremen shoes, white turban na saa na miwani (dope)

 

Mwanamuziki Wildad Agripa looked dope in deniom on denim outfit, amemalizia muonekano wake na trend fanny pack na beret we love love this look

We love this outfit kutoka kwa Diamond Platnumz na Rommy Jones so stylish and it screams celebrity

 

Young D looked smart wearing a blue trouser, pink shirt akiwa amemalizia muonekano wake na  tie ya rangi ya damu ya mzee ambayo ame match na viatu na miwani. looking back to his style we must say anakua sasa.

Kwa ambao hawakutuvutia ni Wema Sepetu na hii gauni yake ambayo aliivaa katika kujitambulisha kama yeye ni ambassador wa star times, the dress is just okay not fitted for the event, tumemuona Wema kwenye press conference nyingi na anapendeza sana ila hapa tulicho penda ni make up na accessory nyingine zote ni Okay nothing wow about them.

Tuambie wewe nani amekuvutia week hii lakini pia usisite kututag katika mionekano tofauti ya mastaa.

Related posts

2 Comments

  1. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/watu-maarufu-waliopendeza-na-kuharibu-week-hii/ […]

  2. 늑대닷컴

    … [Trackback]

    […] There you can find 48545 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/watu-maarufu-waliopendeza-na-kuharibu-week-hii/ […]

Comments are closed.