Coachella ni tamasha la muziki kama lilivyo tamasha la sauti za Busara bongo, kwa wenzetu huwa wana subiri ule mwezi ambapo hamna baridi sana na kufanya tamasha hili ambapo hudumu kwa siku takribani tatu, ijumaa,jumamosi na jumapili. Na hawa ndio baadhi wa watu maarufu walio hudhuria na hii ndo mitoko walio toka nayo.
amber katika floral jumpsuit
Katy Perry
Vanessa Hudgens na Channel Iman
Kylie Jenner
Kendall always kills on Coachella
Peris Hilton
Taylor Swift
Ruby Rose
Miranda Kerr
The Weekend Na Bella Hadid (couples)
Jaden Smith na mchumba wake
Chiara Ferragni huu mtoko ni kila kitu (perfection)
Joe Jonas ndo kaamua kuvaa hivo sasa tutafanyaje
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 49289 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/watu-maarufu-walivo-tokelezea-coachella/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/watu-maarufu-walivo-tokelezea-coachella/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/watu-maarufu-walivo-tokelezea-coachella/ […]