Mwezi Mtukufu wa Ramadhani una kuja na ina semekana itakuwa tarehe 27, ina wezekana ulikua busy hukuweza ku-refresh kabati lako kwa ajili ya Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani basi sisi tuna kupa tips chache za nini kibaki, nini kiondolewe katika kabati lako.
Replace Min- Skirt/Dress na Baibui au Dira – kwa sababu ni mwezi Mtukufu na katika Mwezi huu watu huwa wana jistiri basi kile chochote kinacho onyesha maungio yako kikunje vizuri na kiweke upande mwingine wa kabati huku pale ulipo zitoa ukiweka ingizo jipya la baibui au Dira.
Kaftan/vimono/long coat remain the same – husi ziondoe katika kabati lako kaftan, vimono na long coat utazihitaji ukiwa una taka kuvaa kitu cha kukubana au office wear, una weza kuvaa suruali ndani na top ndefu nje uka vaa koti, vimono au kaftan na ukawa ume jistiri cha kuhakikisha tu ni kwamba havikubani maungio
Replace crop tops na Long shirt – zile ambazo ulikuwa una ziita shirt dress au shift dress zina weza kukusaidia msimu huu hasa pale unapo hitaji kuvaa skin jeans au bandage long skirt hizi zina weza kufunika maungio na kukufanya uonekane ume jistiri
Replace Leggings with Palazzo Trouser – leggins hazina sehemu ya kufit linapo kuja swala la stara kwa sababu ni nyepesi si kama jeans huwezi hata kuzivalia long shirt, nazo zikunje ziweke upande mwingine wa kabati na fungua ukurasa mpya na suruali za Palazzo kizuri kuhusu palazzo ziko comfortable na hazichongi mwili
Maxi skirt/Dress ni must have – kama wewe si mpenzi wa mambo mengi hizi zitakusaidia mno una put on nakuondoka iwe kazini, kwenye sherehe au mihangaiko yako ya kawaida
Replace all the wig’s & weaving’s with Hijab’s – ondoa wig zako na weaving na panga hijab’s kwa ajili ya kujifunika nywele zako
Related posts
7 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 34894 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/ways-to-refresh-your-wardrobe-this-ramadan/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ways-to-refresh-your-wardrobe-this-ramadan/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 84622 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ways-to-refresh-your-wardrobe-this-ramadan/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/ways-to-refresh-your-wardrobe-this-ramadan/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ways-to-refresh-your-wardrobe-this-ramadan/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/ways-to-refresh-your-wardrobe-this-ramadan/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/ways-to-refresh-your-wardrobe-this-ramadan/ […]