Leo tukiwa tumekaa tukijaribu kuangalia kwanini wasanii wetu wakubwa wana shindwa kuvaa vizuri ,vile inavyo paswa tumekuwa tukipigia kelele hili swala tukisema wasanii wanahitaji stylist lakini kwa bahati mbaya hatapale wanapo kuwa nao kuna vitu vinakosekana .Hili likaja katika mawazo yetu ni kwasababu wana kosa inspiration tuongelee wasanii Kama Wasafi Classic Baby
Ambao wanafanya vizuri ndani na nje ya Nchi lakini mionekano yao Kila Mara ina inafanana utakacho muona nacho Diamond ndio atakacho vaa Rayvanny,ndio atakacho kivaa harmonize etc wanakosa ile unique look ya kila mmoja wao.
Tunaweza kusema tunaiona WCB Kama Empire ambayo inakua Ina baba ambae ni Diamond Kwenye Empire Tunaweza Kumuona Kama Lucious Lyo, Tunamuona Harmonize ambae tunaweza kusema ni Jamal (Sio kwa matendo) na Rayvanny tunaweza kumuona Kama Hakeem, pia Queen Darleen tunamuona kama Tiana katika Tamthilia hio hio ya Empire. Ukiwaangalia Cast Hawa Wa Empire kila mmoja wao Ana muonekano wake kutokana na role yake
Mfano Lucious Lyon Kama baba Mara nyingi anavaa suit zilizo pangaliwa vizuri na zipo neat.
ikumbukwe Luscious nae ni msanii ana imba japo umri wake in mkubwa kwetu tunge penda kumuona Diamond akiwa na muonekano wake kama baba mwenye empire awe na signature look ambayo akisimama na wasanii wake ana tambulika huyu ni baba na hawa ni wanae, ambapo tofauti na sasa wote wanaonekana wapo sawa, hatukumbuki Mara ya mwisho lini Diamond alikuwa na neat hair cut tumesha ona viduku,
tumeshaona rasta tokea alivyo anza kuimba kwa sasa tunahutaji muonekano mwingine ambao akivaa na chochote atapendeza kuliko hizi style za nywele za sasa ndio zinampa muonekano wa kisanii lakini anaonekana kama bado msanii anae chipukia, wakati kwa sasa ameshakuwa msanii mkubwa.
Turudi kwa Harmonize, Harmo alivyo anza alikuwa Ana mionekano yake mizuri Sana nywele zimekatwa vizuri hadi tulichukua muda kusema Harmo atakua tishio kwa Jux,Diamond, na Idris Sultani
lakini mambo yaka badilika ghafla yaani tunaweza kusema harmonize wa Leo sio wa jana, akivaa vizuri nywele mbaya,nywele nzuri basi mavazi hayaeleweki sisi tunamuangalia harmo Kama Jamaal ukimuona Jamal Ana ule muonekano wa kijana was umri fulani, anavaa simple ana pendeza.
Rayvanny tunamuona Kama Hakeem ambae yeye ni mdogo na ndio anakua na kuchipukia ukimuangalia Hakeem ni funky Ana mionekano tofauti tofauti ya kijana lakini Ana pendeza mavazi yana pangiliwa vizuri
Tiana ni msichana aliyepo katika tamthilia hio amae yupo chini ya leo ya Empire, ukiachana na mama mwenye nyumba Cookie. huku WCB tunakutana na Queen Darleen amaye sisi tungetamani awe inspired na Tiana maana Queen ndio msichana pekee aliyepo WCB ambae tungetamani awe ana slay.
hayo ni maoni yetu kwenda kwa WCB kutokana na mavazi yao, kwetu tunependa kila mtu awe ana valishwa kutokana na role yake lakini pia kila mtu awe na siganture look yake si kama ambavyo ipo kwa sasa wote wanaonekana wapo sawa, kwetu tunahisi kila mmoja wao ana vile anapenda aonekane na hiko ndicho kila mmoja wao anapaswa kuonekana nacho.
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcb-jifunzeni-kutoka-kwa-empire-casts-kuhusu-mavazi/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcb-jifunzeni-kutoka-kwa-empire-casts-kuhusu-mavazi/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcb-jifunzeni-kutoka-kwa-empire-casts-kuhusu-mavazi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcb-jifunzeni-kutoka-kwa-empire-casts-kuhusu-mavazi/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcb-jifunzeni-kutoka-kwa-empire-casts-kuhusu-mavazi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcb-jifunzeni-kutoka-kwa-empire-casts-kuhusu-mavazi/ […]