SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WCW-Fashion Blogger Lyn Slater
Mitindo

WCW-Fashion Blogger Lyn Slater 

Lyn Slater ni fashion blogger mwenye miaka 64, ukiachana na kuwa blogger pia ni mwalimu ana fundisha  Fordham University, Blog yake inaitwa Accidental Icon kutokana na kwamba aliweza kupata umaarufu kwa bahati mbaya ilikua New York City Fashion Week alikua sehemu ana msubiri rafiki yake kwa ajili ya kupata chakula cha mchana akiwa amevalia Yohji Yamamoto suit na amebeba Chanel bag, ghafla waandishi wahabari wakamzunguka na kumpiga picha huku wakisema atakua mtu mkubwa katika ulimwengu wa fashion (hapo hata hakua na blog) rafiki yake na yeye walicheka na rafiki yake akamwambia “oh my gosh, you’re an accidental icon! Na hap ndipo alipo lipata jina la blog yake

Lyn Slater ni Uzee Goals, unaweza kuwa mzee wa mwili lakini kijana katika fashion na moyo.

 

Anavaa kutokana na miaka yake lakini bado ana standout kwa kuwa fashionable 


Kwetu leo Lyn Slater ni woman crush wetu wa leo, as a blogger & fashion lover tunasema kama love knows no age basi kwanini fashion ijue umri? vaa vile unavyo jisikia kuvaa as long as huvuki mipaka na kutia aibu familia yako.

Related posts

4 Comments

 1. weed delivery toronto

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcw-fashion-blogger-lyn-slater/ […]

 2. big tit bbw secret cam

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcw-fashion-blogger-lyn-slater/ […]

 3. click the up coming web site

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcw-fashion-blogger-lyn-slater/ […]

 4. 다시보기

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcw-fashion-blogger-lyn-slater/ […]

Leave a Reply