Linda Bezuidenhout ni mbunifu kutoka Tanzania Linda ni chotara wa ki Tanzania na Dutch, kutokana na historia yake Linda ana sema alianza kupenda ubunifu tangu akiwa na miaka 8 ambapo alipenda kubuni mavazi yake mwenyewe. Kampuni ya Linda ya mavazi ina itwa LB kifupi cha jina lake.
Katika maisha yake Linda ame ishi Nchi mbali mbali na tofauti tofauti hii ndio ime sababisha Linda kuwa mbunifu bora kwa maana ana jua Culture, ulimwengu wa mitindo na trend za nchi mbali mbali.
Kwa sasa Linda ana ishi Atlanta na huko ame jipatia umaarufu na tuzo mbali mbali kutokana na kazi zake za mitindo hivi karibuni tu ame pata Tuzo ya Honoree 2016 Fashion Designer Award huko huko nchini Atlanta.
Linda ana miaka zaidi ya 20 katika mitindo tunaweza kumuita mkongwe ndio maana leo ame kuwa #wcw wetu ukiachana na hilo bali pia ni jinsi anavyo itangaza vizuri Nchi yetu kupitia kazi yake na kutupa heshima kutokana na tuzo zake anazo shinda.
Dressed Ms. Georgia Plus America 2013 (Became1st runner up at the National Pageant Level)
•Dressed Mrs. Alabama Plus America 2013 at the National Level-Winner “ Best Dressed”
•Dressed Reigndrop Lopes at the Lisa Lopes “Left Eye” “T.L.C” Music Fest
•Dressed Miss Jamaica Universe 2012 Chantal Zacky at ATL Fashion Night Out
•Dressed Reigndrop Lopes at the Movie Premiere for Crazy Sexy Cool in NY City
•Appeared in the TV reality “TRACY SIPP SHOW” as a recognized ATLANTA fashion designer
•Dressed “Sasha the Diva” of Kiss 104 while hosting the ATLANTA MAYORS MASKED BALL
•Dressed American Cancer Society WINTER WHITE PARTY models 2014
•Featured as an Atlanta Fashion Designer on COMCAST TV
•Dressed Ms Georgia Plus America 2014 and won Best Dressed at the National Level
•Awarded Fashion Designer of the Year by Women of Wealth Magazine
•Awarded VIVA INTERNATIONALE Magazine Designer of the Year 2014
•Invited to attend and auction off a dress at the CUN 16th OSCARS VIEWING PARTY in Beverly Hills CA, Feb, 2015
•Attended the New York Festivals Int’l TV & Film Gala as the recognized fashion designer for Cinemoi North America-Apr, 2015
•Dressed Ms. Plus America Ms. Tannesha Smart during the National Miss Plus America Pageant 2015 and won the title – July, 2015
•Appeared as Diaspora Fashion Designer in the African Leadership Magazine – Aug, 2015
•Dressed Kathleen Bertrand, Founder of the BRONZE LENS FILM FESTIVAL & AWARDS – Nov, 2015
•Auctioned a dress at a Gala benefiting the AFRICA SOUP Organization for Orphanage in Uganda – Dec, 2015
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcw-linda-bezuidenhout/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcw-linda-bezuidenhout/ […]