Nicole Murphy ni mwanamitindo lakini pia aliwahi kuwa mke wa Eddie Murphy (actor & Comedian), Nicole Murphy ame kuwa woman crush Wednesday wetu kutokana na mwili wake na jinsi anavyo onekana kijana kuliko miaka yake aliye sema age is just a number hakukosea.
Nicole ana miaka 49 na ni mama wa watoto wa tano, trust us ukimuona huyu wa miaka hiyo Africa na Nicole una weza kusema tuna msingizia Nicole. Ina wezekana watoto wake wakawa na watoto so its safe to say Nicole ni bibi lakini she doesn’t look a inch kama bibi
ana flat stomach pia mwili umekaza, siri ni kufanya mazoezi na kula healthy (balanced diet)
Kwa wale ambao mnataka kuwa young forever, fanyeni mazoezi na kula vizuri je ume mpenda WCW wtu? tuambie kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcw-nicole-murphy/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcw-nicole-murphy/ […]