SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WCW SHEIKHA MOZAH BINT NASSER AL MISSNED
Mitindo

WCW SHEIKHA MOZAH BINT NASSER AL MISSNED 

Umepita muda mrefu tukiwa tuna jaribu kutafuta nani atakuwa woman crush wetu wa kwanza kwa mwaka huu na hapo ndipo Shekha Mozah Bint Nasser Al Missned alipo gonga katika vichwa vyetu

Well kutana na mke wa mfalme alopita wa Qatar Mfalme Hamad bin Khalifa Al Thani. Mwanamama huyu ni mke wa pili kati ya wake watatu wa Mfalme lakini leo tunazungumzia uvaaji wake uliotuvutia. Mwanamama huyu ni mama watoto watano mwenye umri wa miaka 57

Tunatambua Qatar ni nchi ya kiislamu yenye maadili lakini mwana mama  huyu ameweza kufungua njia kwa uvaaji wake maridadi lakini wenye stara. Mwanamama huyu ni mwanadiplomasia ambaye hufanya kazi na mashirika mbalimbali nchini kwake na duniani kama UNESCO.

Sheikha Mozah ameweza kudhihirisha kuwa mwanamke aweza pendeza na kuvutia huku bado akiitunza stara yake. So kwa akina mama ama wanawake wanapata shida kupangilia mavazi huku wakiwaza wataweza jisitiri vipi mna weza kujifunza kupitia Sheikha .

Pia mwanamama mwenye watoto watano hakika anazidi kutupa funzo wakina mama kuwa umri na idadi ya watoto haizuii mtu kupendeza maana unadhifu na kupendeza ni kwa kila mtu.

Article by @willibard_jr

 

Related posts

4 Comments

  1. Best Psychedelic Store Victoria

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcw-sheikha-mozah-bint-nasser-al-missned/ […]

  2. empresa de informática

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcw-sheikha-mozah-bint-nasser-al-missned/ […]

  3. psilocybin chocolate legal​

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcw-sheikha-mozah-bint-nasser-al-missned/ […]

  4. 뉴토끼

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcw-sheikha-mozah-bint-nasser-al-missned/ […]

Leave a Reply