SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WCW VERA SIDIKA
Mitindo

WCW VERA SIDIKA 

Leo katika Woman Crush Wednesday tuna mkenya Vera Sidika ambae ni Mwanamitindo, Video Vixen, Mfanya biashara na pia ni socialite, Vera ana ongelewa mara nyingi kwa mabaya lakini when it comes to fashion ni moto wa kuotea mbali. Ana vaa kila kitu suruali, maxi dress, crop tops yaani kila kitu na ana pendeza hasa. Kutokana na umbo lake ambalo wengi wana sema ame fanya plastic surgery, Vera hupendelea kuvaa mavazi yanayo lichora umbo lake hasa. Leo kawa WCW wetu kutokana na mitoko yake na hizi ndizo baadhi tu ya tulizo zipenda kutoka kwake.

1172405_249942302011508_1387157417_n 10549785_162486380780699_744827462_n 12256852_527191207456800_676091263_n 12298761_197752373895976_1462741725_n 12317846_471346133050698_1632090394_n 12531110_490543294487198_1093943685_n 12750330_1680058825613066_441304200_n

Related posts

3 Comments

 1. 코인악재

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcw-vera-sidika/ […]

 2. 티비위키

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcw-vera-sidika/ […]

 3. guava gas strain

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wcw-vera-sidika/ […]

Leave a Reply