SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

We Are Crushing On Amina Abdi Rabar Styles
Mitindo

We Are Crushing On Amina Abdi Rabar Styles 

Kuna baadhi watakua wanamjua na baadhi hawamjui, lakini Amina Abdi Rabar linaweza kuwa si jina geni masikioni mwa wengi ni mtangazaji na mwanamuziki kutoka Kenya, lakini sisi tunamtambua Amina kama fashionista ni moja kati ya fashionable female presenters wa Afrika Mashariki.

Amina she can rock almost every thing, she is a dare haogopi kujaribu vitu vipya. Anapenda ku – accessories outfit zake lakini pia tulicho jifunza kutoka kwa Amina ni kwamba anavaa sana brand za kwao au tunaweza kusema wabunifu, brands na maduka ya nguo kutoka Kenya yanamvalisha Amina iwe akiwa katika kipindi ama events mbalimbali labda hiki ndicho kina sababisha aonekane smart mara kwa mara, well tuone tulizo zipenda kutoka kwake.

Hizi ni za hivi karibuni,

Talking about long & statement dresses, Amina anapenda kuvaa gauni ambazo zina kufanya uiangalie mara mbili & she does both neutral and colorful as long as its Fashionable.

This yellow dress is life

Short Dresses for the culture

Making statement with ruffle sleeves 

Stylish & comfortable tumependa namna ame mix color blue & red never looked this better, and those colored shield glasses are fire.

Pull neck & pencil skirt are forever stylish and they look good on everyone, Amina ni moja kati ya watu wanaojua nini kivaliwe wapi na vipi.

Representing African Fashion kwa kuvaa kitenge, tumependa mshono wa kitenge na jinsi top ilivyo make statement on its own.

 

Her hair & make up are always on point and she always wear her beautiful accessory that is her smile, tuambie je Amina amekuvutia na wewe au kawaida?

Related posts

2 Comments

  1. How to take albino penis envy shrooms

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/we-are-crushing-on-amina-abdi-rabar-styles/ […]

  2. cartel carts

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/we-are-crushing-on-amina-abdi-rabar-styles/ […]

Comments are closed.