SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

We Are Living For Noel Gio Instagram Fashion Moment
Mitindo

We Are Living For Noel Gio Instagram Fashion Moment 

Oh well oh well seems like stylist Noel Gio isn’t playing with the fashion community this year, amekuwa akipost picha za outfit zake karibu kila siku & we have to say the outfits give us chill’s, yupo casual yet very smart and stylish, kama wewe ni mwanaume you should take notes on how you can style outfit zako uonekane vyema lakini kama ni mwanamke take them notes for your babe or male relatives

 • Upgrade Your Outfit With Accessories 

Hii ilikuwa ni simple black and white outfit ambayo kama asinge add hizi touch’s ndogondogo inawezekana ingekuwa just a regular na boring look, lakini ameongezea a fanny pack ili ku-catch attention pia amekunja suruali socks zionekane na kuleta ile edge look, we love a creative mind,  So next time unataka kuvaa casual look kumbuka kuongezea chachandu kidogo.

 • Show Skin 

Ni mara chache kwa mwanaume kuonyesha ngozi, kwa wanawake unaweza kuvaa skirt fupi, off shoulder top or dress, nguo yenye mpasuo etc, lakini wanaume ni tofauti kutokana na mavazi yao, lakini unaweza kuvaa shirt ya mikono mifupi mkono ukaonekana vyema na kuachia baadhi ya vifungo kifuani kama ambavyo Noel amefanya, bring the sexiness in.

 • Play With color 

Let us repeat “ladies loves when a men wears color” wanaume wachache wenye guts za kuvaa rangi, wengi hawapendi shouting colors mara nyingi huvaa blue, gray,black, brown na white lakini kuna rangi nyingine ambazo ni calm na nzuri tu kama ambavyo Noel amevaa hapo chini, burgundy au damu ya mzee kwa kiswahili na rangi nzuri sana hasa kama utaipatia kuivaa, we love this monochromatic look.

 • Give your outfit a pop 

Well your outfit doesn’t have to be boring, tafuta kitu kimoja ambacho kitakufanya u-pop au u-stand out, kama ambavyo tunamuona Noel kwenye picha amevaa a all black outfit ambayo kaongezea na coat ya peach, we mean the whole look imebebwa na hio coat kama akiitoa basi he will be regular guy ambae amevaa a black outfit.

 • Cuff or cut hem trousers

Kuna vitu vidogo na simple ambavyo vinaweza kunyanyua mtoko wako, juu tuliona namna ya kuonyesha skin kwa kuvaa shirts zenye mikono mifupi au kuachia baadhi ya vifungo vya shirt, hapa tunaona namna ambavyo Noel amenyanyua muonekano wake kwa kukunja suruali yake, hii sio tu usaidia kuonyesha ngozi bali pia husaidia kukupa kimo zaidi ( kukufanya uonekane mrefu) lakini pia kuupa muonekano wako utofauti.

Well we hope hizi tips zimekusaidia kwa namna moja au nyingine na kama utazitumia usisite kututag katika account zetu za social media ( Instagram, Facebook na Twitter) Na pia kama una swali au wazo lolote unaweza kutuandikia.

Related posts

4 Comments

 1. why not try this out

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/we-are-living-for-noel-gio-instagram-fashion-moment/ […]

 2. Where to find DMT in Melbourne

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/we-are-living-for-noel-gio-instagram-fashion-moment/ […]

 3. check this site out

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/we-are-living-for-noel-gio-instagram-fashion-moment/ […]

 4. magic mushrooms for sale online Texas

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/we-are-living-for-noel-gio-instagram-fashion-moment/ […]

Comments are closed.