SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

We Are Loving Where We Are Going With Diversity In Modeling Industry
Mitindo

We Are Loving Where We Are Going With Diversity In Modeling Industry 

Kuna vingi ambavyo vinaendelea ambavyo havipendezi lakini vinapewa headlines sana kuliko vile ambavyo vinapendeza, hii ina fanya tasnia moja kuonekana haina uelekeo iendako wakati kumbe kuna yale machache mazuri ambayo yanafanyika ya yanaweza kutufikisha mbali kwa namna moja au nyingine.

Zamani ilikuwa ngumu kuona models wanene, waafupi au hata walemavu wakipewa nafasi kupanda katika majukwaa au kufanya commercial modeling lakini kwa sasa tunaona karibu kila pahali kuna diversity ya kuwa na aina tofauti za ma-model, Tukiongelea Tanzania tuliona mwaka jana mbunifu Samuel Zebedayo alivyo wapandisha plus size models katika swahili fashion week,

lakini pia tulimuona model mwenye ulemavu wa ngozi Miki Deo akipewa nafasi ya kupanda katika majukwaa mbalimbali ya fashion

Lakini kingine ambacho tumekiona ni kupewa nafasi models na miss wenye matatizo ya ngozi ( albinism ) katika Tasnia ya urembo tuliona Miss Tanzania Brigitte Alfred alivyo andaa event ya My Skin My Pride na kuwapa nafasi wenye tatizo hili kuwa models katika event hii, akiwa ana launch foundation yake ambayo ina deal na kusaidia wenye tatizo la albinism

Lakini pia tumeona katika mashindano ya Miss mwaka huu washiriki wao pia wameruhusiwa kushiriki wale wenye albinism pia na kuna ambae aliingia tatu bora

Na kuna wengine ambao wana onekana kufanya commercial modeling and they do good work kuliko hata hawa ambao tunawaaminia na kuwapa wafanye matangazo yetu, @magreth_salutary

Shining our light to the World. Picture By

with that been said  lets say we dedicate this Friday to every model out there ambae ana tatizo moja au jingine iwe skin problem, mlemavu wa kiungo etc we are happy that your trying to do kile ambacho unaamini kina wezekana this is your time to shine. Na kwa wale wote ambao mnawapa nafasi wenzetu kutimiza ndoto zao you are the real one’s

 

Related posts

3 Comments

  1. from this source

    … [Trackback]

    […] Here you can find 23571 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/we-are-loving-where-we-are-going-with-diversity-in-modeling-industry/ […]

  2. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/we-are-loving-where-we-are-going-with-diversity-in-modeling-industry/ […]

  3. you could look here

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/we-are-loving-where-we-are-going-with-diversity-in-modeling-industry/ […]

Comments are closed.