SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

We have A Crush On Instagram Fashionista Sishkiki Styles
Mitindo

We have A Crush On Instagram Fashionista Sishkiki Styles 

Tunachopenda kwa sasa ni kuona Tanzania tunapata watu ambao wao wakosawa tu na ku-slay hata kama sio watu maarufu, wako tayari kuonyesha watu namna ambavyo unaweza kuwa mtu wa kawaida na ukapendeza truth be told kwa sasa Fashionista’s wapo wengi sana Tanzania. Moja kati ya fashionistas hao ni huyu mwanadada anaekwenda kwa jina la @sishkiki katika Instagram page yake na leo we are crushing on her styles.

 • She keeps it trend but in her own style

Sishkiki ni moja kati ya fashionistas wanaojua style zao na mwili wao unataka nini, anavaa trensd things lakini pia anajua kufanya whats trending kuwa on her own way, sio kwa sababu Nicki Minaj kavaa basi na yeye avae vilevile hapana anajua kujipatia na mwili wake.

 • Makes Her Wardrobe Useful In Any Occasion

Moja ya kitu ambacho huwa tunasifia ma-fashionistas ni uwezo wa kufanya kabati lako kugeuka mara kwa mara, mfano uwezo wa kuvaa blazer in official way, casual lakini pia hata ukiwa katika matukio makubwa bila watu kuboeka au kujua ni kitu kimoja.

 

 

 • najua nini avae wapi

Tumekuwa tukilalamikia kuhusu hili watu wengi hawajui nini avae nini na wapi unaweza kuta mtu anaenda kwenye club appearance ame dress up na nguo ya red caarpet, red carpet ya mchana mtu anavaa mavazi ya usiku, well ni tofauti kidogo na Sishkiki yeye anajua kuvaa kulingana na sehemu.

we can’t wait to see more of her styles tumemuona katika vidoe mpya ya Young Dee she is making moves hopeful ataingia katika sekta ya mitindo soon.

Related posts

2 Comments

 1. ทางเข้า lsm99

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/we-have-a-crush-on-instagram-fashionista-sishkiki-styles/ […]

 2. site here

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/we-have-a-crush-on-instagram-fashionista-sishkiki-styles/ […]

Comments are closed.