SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

We Live For Irene Uwoya’s Style Transformation
I'm A Celebrity

We Live For Irene Uwoya’s Style Transformation 

Kuna kuvaa na kuonekana umependeza lakini pia kuna kuvaa na kuslay uonekane umechukua muda wako katika kufikiria nini uvae na ku-put together outfit pieces, lakini hii sio tu outfit ni sanaa ya kuanzia nywele, viatu, makeup and accessories even attitude, tukimuongelea Irene Uwoya wa mwaka mmoja nyuma tunaweza kusema Irene yule alikuwa anavaa kupendeza lakini huyu wa sasa is slaying, tunapenda the fact that she keeps it classy and stylish na kujaribu kutoka out of her comfort zone,

Na hizi ndizo tulizozipenda kutoka kwake,

 • Sheer it up because you have nothing to hide

Ni mara chache kukuta celebrities wa bongo wakijaribu risky trends kama hii ya sheer ambayo ilitamba sana mwaka jana na mwaka juzi, Irene rocked the trend effortlessly ambapo tulimuona in this off white outfit

Na hii sheer  all black outfit


 

 • stripes, black & white & Red to  pop it

body snatched lakini pia unaweza kuona efforts katika hii outfit adding a stripes blazer, belt na viatu vyekundu you can definitely see kwamba alichukua muda wake katika kufikiria hii outfit.

 • Polka Dot

One of the biggest trend of all time ni polkadot huwezi kuikuta imevaliwa sana mtaani ikaonekana smart as Irene did, ukikuta mtu amevaa polka dot na kustyle vizuri hivi jua kuwa anajua mitindo kwa kiasi fulani.

 

 

 • Stylish Casual Styles

Tunapenda kwamba sasa hivi hata kama akiwa in casual outfit she make’s effort kuifanya ionekane stylish.

 • two pieces

Every fashionista own’s two pieces outfit kwenye kabati lake & so do Irene.

 • Wet hair don’t care

Well wet hair style imekuwa ikifanywa sana na wenzetu na watu kama Kim Kardashian, Kylie Jenner, Nicki Minaj, Irene nae ameonekana kuiweka hivi majuzi you can tell she is fashion woke.

well let us know how you feel about her transformation Yay or Nay?

 

Related posts

1 Comment

 1. special info

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/we-live-for-irene-uwoyas-style-transformation/ […]

Comments are closed.