SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wedding Guest’s Looks From Nandy & Billnass’s Wedding
Mitindo

Wedding Guest’s Looks From Nandy & Billnass’s Wedding 

Week iliyopita Jumamosi ya tarehe 16.7.2022, Mwanamuziki Billnass na mpenziwe Nandy walifunga ndoa, na ni moja kati ya ndoa ambazo zimetikisa Nchi kwa namna moja au nyingine. Ikiwa ni harusi ya watu maarufu basi watu maarufu mbalimbali walihudhuria katika shehere hii na hapa tunaangalia wahudhuriaji walivaaje?

Irene Uwoya akiwa amevalia detached dress by Lizy Payless

Muigizaji Wema Sepetu akiwa amevalia yellow and gold look kutoka kwa Designed By Shuu

Muigizaji Auntie Ezekiel alimatch looks na Wema Sepetu wakiwa amevalia yellow and gold look kutoka kwa Designed By Shuu

Zamaradi Mketema yeye alikuwa in black & gold na yeye akiwa amevalishwa na mbunifu Designed By Shuu,

Photo Credit za Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na Zamaradi Mketema ni Icon Tz

Shilole alikuwa in sleeveless dress ya pink kutoka kwa  @jegasi_design 

Linnah Onnah in pinkish high slit dress, hii bag haikuwa mahala husika

Meena Ally & Millard Ayo

Marioo By Martin Kadinda & Dogo Janja dressed by Marafiki Suits

Petit Man & Whozu in jm_international_collection

Nedy Music & Barnaba & Rich Mitindo & Dullah Makabila

Related posts

5 Comments

 1. weed delivery toronto

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wedding-guests-looks-from-nandy-billnasss-wedding/ […]

 2. wapjig.com

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wedding-guests-looks-from-nandy-billnasss-wedding/ […]

 3. unaware bbw mature latina hidden cam solo

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wedding-guests-looks-from-nandy-billnasss-wedding/ […]

 4. 다시보기 사이트

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wedding-guests-looks-from-nandy-billnasss-wedding/ […]

 5. สล็อตเว็บตรง

  … [Trackback]

  […] Here you can find 82746 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wedding-guests-looks-from-nandy-billnasss-wedding/ […]

Comments are closed.