SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wedding Reception Dresses Ideas Kutoka Kwa Pearl Thusi
Mitindo

Wedding Reception Dresses Ideas Kutoka Kwa Pearl Thusi 

Pearl Thusi ni Muigizaji, Mwanamitindo na Mtangazaji kutoka South Africa, ni moja kati ya fashionista’s anaefuatiliwa zaidi Nchini humo na Nje ya Nchi. Kutokana na kazi zake Pearl Thusi amekuwa akipewa deals mbalimbali za kutangaza katika event kubwa mbalimbali na hapa sisi ndipo huwa haletagi masikhara katika kuvaa. Leo tunakuletea baadhi ya mavazi ambayo tumeyaona kutoka kwake unayoweza kuiga kama wedding reception dress, wedding guest dress, birthday party dress etc.

Detached Orange Dress, hii unaweza kuvaa na mkia nyuma au ukautoa ukaa dress tupu kama inavyoonekana hapo chini

Go metallic and let the hater’s go blind, ni namna moja ya kuwa tofauti ikiwa wageni waalikwa watakuja wamevaa almost rangi zote kwanini wewe usi-stand out na kuvaa metallic dress inaweza kuwa gold au silver

Sided Tail Pink Dress, wakati wengi tail inakuwa nyuma sio mbaya ukawa wa kitofauti yako ikawa pembeni kama hii ya Pearl

Serving Legs

Related posts

5 Comments

 1. over at this website

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wedding-reception-dresses-ideas-kutoka-kwa-pearl-thusi/ […]

 2. 1up bars

  … [Trackback]

  […] Here you can find 87173 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wedding-reception-dresses-ideas-kutoka-kwa-pearl-thusi/ […]

 3. hawaiian magic mushrooms

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wedding-reception-dresses-ideas-kutoka-kwa-pearl-thusi/ […]

 4. arkansas magic mushrooms price per capsule street value

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wedding-reception-dresses-ideas-kutoka-kwa-pearl-thusi/ […]

 5. empresa de informática

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wedding-reception-dresses-ideas-kutoka-kwa-pearl-thusi/ […]

Comments are closed.