SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Weekend-buzz: Ali Kiba Kuvaa Skirt Katika Lip Sync Battle
I'm A Celebrity

Weekend-buzz: Ali Kiba Kuvaa Skirt Katika Lip Sync Battle 

Msanii wa kizazi kipya Ali Kiba ame ingia katika headlines mwisho wa wiki iliyo pita baada ya kuvaa kama mwanamke katika Lip sync battle Africa, Ali Kiba ambae alikuwa ana m-channel marehemu Brenda Fassie mwanamuziki kutoka South Africa.

Ali Kiba alibaa fringe skirt, akapakwa make up na kuvalishwa turban ya kipenge, kitendo hiki kili gawanyika mara mbili kuna ambao walimtetea na ambao walisema hapana mwanaume hafai kuvaa kama mwanamke hasa kwa msanii mkubwa kama yeye

Lakini Ali Kiba si mwanamuziki wa kwanza kuvaa hivi tulisha muona mwanamuziki Patrick Nnaemeka Okorie A.K.A Patoranking kutoka Nigeria yeye ali m-channel Mwanamuziki Nicki Minaj nae alivaa skirt ya pink, wig ya purple pia alipakwa make up we all know Nicki ana penda colorful staff

Je wewe upo upande gani kwa wanao kataa au wanao kubali? tuambie kupitia mitandao yetu ya kijamii

 

Related posts

2 Comments

  1. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/weekend-buzz-ali-kiba-kuvaa-skirt-katika-lip-sync-battle/ […]

  2. White Heroin

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/weekend-buzz-ali-kiba-kuvaa-skirt-katika-lip-sync-battle/ […]

Leave a Reply