SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Weekend Buzz: Alicho Vaa Aunty Ezekiel Kwenye Harusi Ya Professor Jay
Mitindo

Weekend Buzz: Alicho Vaa Aunty Ezekiel Kwenye Harusi Ya Professor Jay 

Kilicho jiri weekend hii ni kwamba mwanamuziki nguli na mbunge wa Mikumi, Joseph Haule au Professor Jay ame uaga ukapela (ame funga ndoa), wasanii wengi walihudhuria na kama kawaida ya Afroswagga huwa tunaangalia nani amevaa nini. Kiukweli wengi walipendeza lakini bado jinamizi kuto kupendeza lina mfuata Muigizaji Aunty Ezekiel

Siku ya kwanza alivaa hii gauni nyeusi ambayo inaonyesha kifua chake na ukiingalia utakumbuka kwamba hii gauni alisha valishwa fupi yake na aliongelewa kuwa hakupendeza lakini inaonekana stylist wake akaamua kuongezea urefu tu. Ni harusi na ina paswa kuheshimu siku ya mwenzio hatuja penda muundo wa vazi kifuani, lakini muundo wa gauni sio mzuri.

Gauni ambayo alisha wahi kuivaa inayo fanana na hio yajuu

siku ya pili alivaa gauni ya pink hii ilikua sare, amevaa kaba koo lakini pia kifua kipo wazi kwa umbo la aunty hili halikua chaguo sahihi na ameonekana kama amekuwa squeezed in imetufanya tufikiria je aliweza kupumua vizuri?

na haya ni baadhi ya maoni ya watu mbalimbali kuhusu mtoko wa Aunty Ezekiel katika sherehe hio

Je wewe unahisi Aunty amependeza au lah? tuambie kupitia mitandao yako ya kijamii

 

Related posts

4 Comments

  1. Buy Psychedelics Victoria

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/weekend-buzz-alicho-vaa-aunty-ezekiel-kwenye-harusi-ya-professor-jay/ […]

  2. Buy Mushroom Online Perth

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/weekend-buzz-alicho-vaa-aunty-ezekiel-kwenye-harusi-ya-professor-jay/ […]

  3. Automation Testing software

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/weekend-buzz-alicho-vaa-aunty-ezekiel-kwenye-harusi-ya-professor-jay/ […]

  4. blue magnolia shrooms

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/weekend-buzz-alicho-vaa-aunty-ezekiel-kwenye-harusi-ya-professor-jay/ […]

Leave a Reply