Weekend hii tukio kubwa la kimitindo lilikuwa ni Ally Rehmtullah kutimiza miaka kumi ya brand yake, yaani kutambulika kama mbunifu Ally Rehmtullah. Watu maarufu wengi walihudhuria na wengi walipendeza tunaweza kusema hili Tamasha lilitendewa haki, watu walikua simple, elegant & fashionable
Miss Tanzania 1998 alivaa hili gauni la blue alilo shonewa kutoka katika duka la Jacqueline Wolper (house of Stylish) likiwa inspired na gauni la Rihanna
Bijoux Trend alivaa Ruffle batiki dress kutoka katika collection yake mpya ya mapepe
Idris Sultan in Mtani Beskope Suit
Fifi Sugar Design akiwa ndani ya ubunifu wake mwenyewe “the short hair is life”
Salma Msangi akiwa ndani ya blue dress inaonekana blue ndio new black kwa sasa
Liliane Masuka she never disappoint akiwa amevaa hii blue dress kutoka kwa officialsalehhamimu
Jou Jou Nyaki akiwa amevalia two pieces suit tumependa viatu na kijipochi not sure na hio rangi ya nywele
Lulu tumependa alivyo kuwa mpya, suit is so elegant our favorite look kwa usiku ule
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…