Weekend ilikua ya hasham hasham hasa kutokana na event ya fashion ya Ally Rehmutallah ambapo alikua ana fanya model audition akiwa ana tafuta models kwa ajili ya event yake ya kutimiza miaka 10 ya Ally Rehmtullah ma judge walio kuwepo ni Shetta, B Dozen, Salama Jabir na Elizabeth Michael unajua vile Eliza huwa hakoseagi.. tukianza na make up yake ambayo alifanyiwa na divaglam_beauty , alipendeza sana ni kama nude flani aliyo iongezea na gold tumependa hii face beat sana na ame debut new hair do ana short hair kwa sasa
tumependa hii gauni aliyo vaa kutoka kwa mbunifu Kyamirwa ni velvet knee length black dress ambayo inaonyesha cleavage sana well ana kifua cha kuonyesha ame maliza muonekano wake na gold & black heels na hereni simple
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/weekend-highlights-elizabeth-michael-in-kyamirwa-diva-glam-beauty-hands/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/weekend-highlights-elizabeth-michael-in-kyamirwa-diva-glam-beauty-hands/ […]