Sisi tunamuita slayer mdogo, kwa sababu umri wake mdogo lakini ana slay kuliko wale wenye umri mkubwa. Elizabeth Michael alimaliza weekend yetu kwa kupost hii picha akiwa amependeza in her white off shoulder dress na pokello pink bottomĀ  pumps

ana new hair do, ambazo ni rasta ame zifunga high bun, kigauni chake cheupe na pokello pink pums akiwa ame malizia muonekano wake na colorful clutch (which we are loving it) Hereni na simple make up

Je mme ipenda? tuambie kupitia mitandao yetu ya kijamii