SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Weekend-highlights – Nandy Na Cinderella Theme Photo shoot
I'm A Celebrity

Weekend-highlights – Nandy Na Cinderella Theme Photo shoot 

Nandy ni mwanamuziki wa kike anae fanya vizuri kwa sasa,kuanzia nagusa gusa, one day na sasa wasikudanganye Nandy ana fanya vizuri na tunaweza kusema ni msanii ambae ana shirikisha sana wabunifu na stylist katika kazi zake labda kwa sababu ana penda mitindo au kwa sababu ana penda kupata kile kilicho bora “we love Nandy for that”

Nandy ametoa wimbo wake mpya unaitwa “wasikudanganye” na amefanya photo shoot ya wimbo huo bado hatujajua ni ya cover au ndio outfit zake katika video au ni photo shoot tu watu wakiwa wanampost watumie picha hizo vyovyote vile Nandy ame fanya photo shoot kwa ajili ya huu wimbo mpya na theme yake ilikuwa Cinderella.

Kwa mwili wake na jinsi alivyo concept ya Cinderella ilikuwa nzuri sana, kwa kuwa Nandy ana mwili mdogo tulitegemea nguo zinge mkaa na kumpendeza haswa lakini imekuwa tofauti. Nandy ana mwili mdogo juu hana tumbo hatuja jua kwanini haya magauni hayaja mfit vile inavyo takiwa magauni yame pwaya

una weza kuona hapo kifuani na tumboni gauni halija fit vile Cinderella dress ina takiwa kufit na worse part ni kwamba walio m-style na kumpiga picha hawakuliona hili wakapost hivyo hivyo tuna dhani kuna pini wangeliona hili wange mfunga pini kama photo shoot ime fika na muda mchache kuibana pini ingesaidia sana ukiachana na kupwaya kwa gauni tume penda make up na hair style very classic na hereni ni yes kwetu

Hapo juu alikuwa dressed na styled by

Stylist @noelgiotz

Dress 👗 @kikisfashion

Hairstylist @yohajonailbar

Makeup @monibeatsface

Pic @benardatilio

Ya pili nayo ilikuwa Cinderella dress ila hii alikuwa ame simama kwenye ngazi tena concept ni nzuri sana lakini hizi nywele kwanini? hair stylist ilikuaje hapa? bora mnge muacha na nywele zake nyeusi kuliko hii blonde

hair na makeup na gauni vime tofautiana gauni liko classy kwa hii makeup na hizi nywele, japo tumependa hio clown hapo juu ila ita a no to hair & makeup, tunadhani a nude make up ingefit vizuri zaidi na blonde isinge ng’aa hivyo

all in all nice concept na hapo juu alivalishwa na kuwa styled by

Stylist @noelgiotz

Dress @myweddingsolutions

Makeup @monibeatsface

Hairstylist @yohajonailbar

Pic @benardatilio

unaweza kutuambia umekipenda kipi na kipi ume kichukia kupitia account zetu katika mitandao ya kijamii

Related posts

4 Comments

  1. buy benelli firearms

    … [Trackback]

    […] There you will find 1180 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/weekend-highlights-nandy-na-cinderella-theme-photo-shoot/ […]

  2. psilocybin chocolate usa​

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/weekend-highlights-nandy-na-cinderella-theme-photo-shoot/ […]

  3. 주식

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/weekend-highlights-nandy-na-cinderella-theme-photo-shoot/ […]

  4. blog

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/weekend-highlights-nandy-na-cinderella-theme-photo-shoot/ […]

Leave a Reply