Embellished Jeans zpo kwenye trend kwa sasa, na pearled jeans zimeonekana kuwa favorite ya watu wengi kiukweli they makes you look so chic. Mitindo inakua kila siku tunatafuta namna ambayo kila mtu anaweza kuvaa mtindo fulani awe mnene, mwembamba,mrefu,mfupi,mweusi,mweupe, Islamic au Christian ili mradi kila mmoja wetu aweze kwenda na wakati (fashion knows no color or religion) .

Kwa hilo tumeona tuwaletee hizi weekend inspiration za pearled jeans ambazo una weza kuvaa weekend hii katika mizunguko yako ya hapa na pale.

Note: hakikisha hazikubani, kama ina kubana valia kimono, kaftan au shirt refu

unaweza kuvaa ankle pearled jeans na shit ya mikono mirefu, hijab na wedges (chic right)

Unaweza kuongezea accessories kama miwani na mikufu na stella mccartney shoes

Pearld jeans, t-shirt, heels na kaftan/cardigan

Pearled Jeans X Open abaya

Casual? no worries pearled boyfrind trouser X sneakers

Unaweza kutupa maoni yako kupitia mitandao yetu ya kijamii

 

Comments

comments