SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WEEKEND OUTFIT IDEAS KUTOKA KWA JAI NICE
Mitindo

WEEKEND OUTFIT IDEAS KUTOKA KWA JAI NICE 

Kama wewe ni fashion lover basi utakua ume lisikia hili jina, ni msichana mwenye miaka 26 ambe ni digital entrepreneur ambae anauza nguo za mtumba kupitia duka lake Kloset Envy. Mwenyewe ana sema alianza kuuza max skirts na gauni kabla ya kuamua kuuza kile anacho hisi kitampendeza mwingine, tutakupa stori yake siku nyingine leo tupate mitoko ya weekend kutoka kwake

kama una date ya usiku hizi zitakufaa

13388711_499947160195845_264396486_n

13402430_859167044208897_1354063037_n

Casual mchana au jioni hizi pia si mbaya13391276_1722468161354986_1604157819_n 13408925_1739884922896796_405496501_n

Mitoko ya hapa na pale na marafiki13473101_1722356681351234_20672371_n 14294703_1732223670363096_61481165_n

14482200_1711692822489163_6302576138480779264_n 14547732_1126045990818974_7315020610139062272_n

Related posts