SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WEEKEND OUTFIT IDEAS KUTOKA KWA MIMI MARS
Mitindo

WEEKEND OUTFIT IDEAS KUTOKA KWA MIMI MARS 

Anaitwa Marianne Mdee, wengi tunamjua kama mimi mars na anajulikana instagram kama mimi_mvrs11 ni mtangazaji pia mc katika shughuli mbalimbali, ana julikana sana kutokana na kipindi chake cha the weekend gossip.

Mimi mars ni msichana anae jua kujipangilia ki mavazi na hii ndio sababu iliyo tufanya tuchukue baadhi ya mavazi yake na kuwaletea muweze kuiga kwa ajili ya weekend zenu

casual na crop top, boyfriend jeans, kijikoti ame accessorize na choker, glasses na heels

12317405_935388496537273_1727820789_n

 

Casual kinyumba nyumbani Tuxedo dress na sneakerzĀ  12797666_984638331612736_909439600_n

Shot pants za jeans zipo in sasa hivi una weza kuvaa kama yeye au na crop top au body suit12912845_569892109837225_1733056285_n

Night look na Gold na short hair, loving everything on this look12960161_260718564280901_657211682_n

blue shades japo ame risk mno lakini kapendeza13102417_1699205240338945_1327209384_n

hii una weza kuvaa mchana na hata usiku katika hafla za kawaida kama birthday au dinner na marafiki13413181_249131815466661_725975625_n

All black outfit tumependa hio leather mini-skirt, off shoulder top na heels ooh and the hair color ime boost the look

14310775_650673291776128_1094908251_n

Related posts