Don’t you love it ukisikia weekend ime fika? We Are like finally…. Ni mwanzo wa mwaka na ndio weekend yetu ya kwanza, japo January uwaga si mwezi mzuri sana mifukoni lakini you can’t be broke & not fashionable at the same time. unaweza kuwa huna hela na yet ukapendeza! ndio umaridadi huficha umasikini wahenga walinena
Kama huna Idea ya nini uvae weekend hii hio ndio kazi yetu afro na hizi ndizo ambazo una weza kuanzia January yako vizuri kabisa kutoka kwa fashionista @revesfashion
Denim on Denim is never a bore, na kama una taka mtoko wako uwe casual na quick hii ni best choice kwako
White shirt dress ni chaguo zuri pia especial ni kwamba ina enda na kiatu chocote iwe sneakers, Boots, mules,gladiators ina tegemea na upendavyo na uendapo
Tutu skirt na shirt ame li style kama crop top, tume penda hii as ina weza ika geuzwa ikawa a night look pia
little black dress for a night date, remove the choker na vaa a simple chain au statement hearings.
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…