Ikifikaga Ijumaa huwa tuna kumbukaga sana wimbo ya marehemu Man’gwear kama “weekend” ‘kama weekend ndio tayari imesha fika, watu viwanjani wana miminika, tufurahi kwa pamoja usiku huu na kwa furaha turushe mikono juu’… Well wekeend ndio hii hapa na lazima tu party lakini je utaenda kwenye party hujapendeza? nani asie penda kwenda sehemu na watu wasi turn head kumuangalia? no one right? haya hizi ndizo una weza kuvaa weekend hii uka party na kuwaacha waki kuongelea kwamba ume pendeza
two pieces outfit yenye rangi moja (show them curves kama ume jaaliwa)
Swing dress, hii ina tupendeza wale wenye nyama kiasi
Casual na shirt yenye mi pasuo, short pant na colorfull heels
Cut out shoulder dress (very trending) na ina faa kwa size zote
crop top na bandage skirt
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…