SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WEEKEND OUTFIT INSPIRATION KUTOKA KWA SAZI HILLS
Mitindo

WEEKEND OUTFIT INSPIRATION KUTOKA KWA SAZI HILLS 

Sazi Hills ni Fashionista pia ni Fashion Blogger, Tume penda mitoko yake na tuna kuwekea hapa kama Inspiration ya kuiga katika mitoko yako weekend hii.

Mara nyingi mavaziĀ  hutegemea na sehemu unayo enda

una weza kuvaa hii denim dress kwa mitoko na marafiki eg movies, lunch meetings etc

11326996_1608825906045522_487174987_n

 

Kuna wale tulio jiajiri una weza kuvaa hivi katika casua business meetings12298845_151362605220022_1613477876_n

Beach wear au kama mna bbq party au pool party hii ni choice nzuri12547650_1674447559461005_319465620_n

hizi mbili chini una weza ku vaa on a date

12677403_878109935650759_361236663_n

13703067_1721011728163740_1751367500_n

Mitoko na washkaji

13556904_403843359785921_410662213_n 13627898_1439932982699495_964056159_n

Hope ume enjoy na kupata idea ya nini uvae weekend hii xoxo….

Related posts

3 Comments

  1. Cambodian Magic Mushrooms for sale uk

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/weekend-outfit-inspiration-kutoka-kwa-sazi-hills/ […]

  2. Adult Cams Girl Indian

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/weekend-outfit-inspiration-kutoka-kwa-sazi-hills/ […]

  3. h&k

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/weekend-outfit-inspiration-kutoka-kwa-sazi-hills/ […]

Leave a Reply