SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Weekly Fashion Updates Kutoka Kwa Vanessa Mdee, Nandy Na Wengine
Mitindo

Weekly Fashion Updates Kutoka Kwa Vanessa Mdee, Nandy Na Wengine 

Tunakuwa excited week ikianza na nyingine kuisha hii ni kutokana na kutaka kujua week hii mpya inatuletea nini na iliyoisha ilikuwaje, Leo tunakuletea weekly updates za nani alislay na nani alikuwa nje ya slaying zone kwa week iliyomalizika jana.

Stylist Rio Paul amemaliza week yake na hii casual look ambayo tumeipenda, amevaa two colors shirt nyeusi na blue ambayo ina pink touch’s, na blue jeans, miwani akiwa amemaliza na Gucci shoes. tumependa hii look amependeza without trying so much.

Vanessa Mdee hakuwepo nyuma ametupa all shades of weekend outfit goals akiwa amevaa a short pant, t-shirt na Gucci headband huku akiwa amemaliza na sneakers amemaliza muonekano wake na accessories kama miwani, necklace, saa na pete.

Lulu Diva & Billnas wametupa some couple goals weekend slaying wote wakiwa in t-shirt na jeans white kicks huku wakiwa wamemalizia mionekano yao na miwani na kofia, unaweza kuvaa hivi na mwenzi wako bila ku-match sana ila wote mkawa na chemistry katika outfit zenu.

Irene Uwoya in white shirt dress is our comfy goals kwa week end, tumependa alivyo style na see through shoes,  ambacho hatuna uhakika nacho ni hio kofia hapo juu, it feels like haikuwa na ulazima au imekuwa forced kuwa hapo, but the outfit is perfect.

Nandy alikuwa colorful na hii outfit yake, tumependa jinsi ambavyo Joujou ame m-style Nandy, the Tuxedo dress juu akiwa amevalia na colorful cover up na amemalizia mtoko wake na red heels, sometimes you need that extra statement piece kufanya mabadiliko katika outfit yako.

let us know unadhani nani amekuvutia zaidi na outfit yake hapojuu

Related posts

2 Comments

  1. เครดิตฟรี 50 ยืนยันเบอร์

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/weekly-fashion-updates-kutoka-kwa-vanessa-mdee-nandy-na-wengine/ […]

  2. hawaiian magic mushrooms

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/weekly-fashion-updates-kutoka-kwa-vanessa-mdee-nandy-na-wengine/ […]

Comments are closed.