SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wema Tema Big G, Irene Paul Atisha
Mitindo

Wema Tema Big G, Irene Paul Atisha 

Kama ilivyo kawaida week hii katika segment ya fundi tupo na waigizaji Wema Sepetu pamoja na Irene Paul, Week iliyopita kulikuwa na event mbalimbali ambapo watu maarufu wengi walihudhuria event hizo, kati ya event zilizokuwepo moja wapo ni The Orange Concert ambayo hii walitoa Tuzo kadhaa na Wema alikuwa mmoja kati ya wageni waalikwa waliotoa Tuzo kwa washindi, lakini pia kulikuwa na event ya High Royal Tea ambapo ilihudhuriwa na Irene Paul as usual fundi aliangalia kama itikadi zote zilizingatiwa na kufuata Je kwanini kampa Wema zero huku Irene akipewa mia? Angalia hapo chini

bila kusahau subscribe, like na toa maoni yako kuhus kipindi hiki

Related posts