Tupo a bit late kuongelea hii photoshoot lakini ni photoshoot ambayo ipo worthy kuiongelea, Wema Abraham Sepetu amesheherekea Bithday yake juzi, Mwaka huu hakukuwa na sherehe lakini imeonekana all the efforts ziliwekwa kwenye photoshoot.
Well the photoshoot was just minimal na ni monochrome looks, lakini kwa vile ambavyo tumezoea kuona photoshoot zetu this one, is the best of them all, the simplicity yet elegance of the photo’s and looks are pleasing.

Photographer understood the assignment Wema haja editiwa sana, her natural looks zimeonekana. Stylist made sure to keep it simple and classy, makeup artist alitulia lakini pia Wema served the lewks, it gave us american top model vibes.

Tumependa kwamba ametoka kwenye indian, nigerian, ball dress themes na amekuja ki-vingine, hatujui nani ataishusha hii photoshoot but incase una plan na kufanya photoshoot make sure unatafuta kitu cha tofauti. Well tupe maoni yako kuhusu photoshoot hii.
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-birthday-photoshoot-raised-the-bar/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 64838 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-birthday-photoshoot-raised-the-bar/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-birthday-photoshoot-raised-the-bar/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-birthday-photoshoot-raised-the-bar/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-birthday-photoshoot-raised-the-bar/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-birthday-photoshoot-raised-the-bar/ […]