Msanii Wema Sepetu alituambia tumzoee na her new look, maana mwaka huu nywele kazitupilia mbali, with her new body anasema nywele hazimpendezi, what can we say do you mamy. Leo tumeona ameachia picha mpya akiwa amevaa mermaid wedding dress with detachable skirt kutoka kwa mbunifu anaechipukia aitwae @Chapa1collection
Kama wewe unaharusi na unanywele fupi au ungependa siku ya harusi yako uwe na nywele fupi basi Wema Sepetu is here to Inspire you, ameweka nywele zake gel zimekuwa na mawimbi fulani, she opted for a clean nude make up, akiwa amemalizia na hereni she decided to let the dress do the talking
Upande wa gauni alivaa hii embellished off the shoulder mermaid wedding dress with detachable skirt, ni design ambayo imekonekana kutamba sana kwa sasa.
Kama kuna Tip ambayo Wema ametupa kutoka na muonekano wake huu mpya ni kwamba unaweza kuwa simple with no hair, no bold makeup and no jewelry kwenye harusi yako and still you can manage to keep it beautiful and stylish.
Photo Editing @benardatilio
The Queen of fashion @wemasepetu
Dress @chapa1collection
Photographer @light_palmer
MUA @laviemakeup •
Well tuambie kwako a clap or slap for her?
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-giving-us-low-cut-hair-style-bride-inspiration-in-chapa-1-collection-wedding-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-giving-us-low-cut-hair-style-bride-inspiration-in-chapa-1-collection-wedding-dress/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 83853 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-giving-us-low-cut-hair-style-bride-inspiration-in-chapa-1-collection-wedding-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-giving-us-low-cut-hair-style-bride-inspiration-in-chapa-1-collection-wedding-dress/ […]