Miss Tanzania 2006 na Muigizaji Wema Sepetu jana usiku aliachia picha zake akiwa amevalishwa gauni kutoka kwa mbunifu Mac_couture, Gauni hili ni zuri sana material ilikuwa nzuri pia (trending glitter material) ambayo mac mwenyewe amesema imechukua miaka miwili kuitengeneza, Well the dress is so nice japo hatuja penda finishing yake kwa chini
The fabric is real nice, inavutia tuna wish Mac couture angeput much effort kwenye kuwa creative na kukifanyia justice hiki kitambaa, kwanini tunasema kuwa creative? Tumesha muona Wema kwenye aina ya ubunifu karibia mwaka mzima ulio isha, magauni ya nguva ya kukata mikono na yenye mikono na alivaa katika events mbali mbali, its about time wabunifu wangetuletea kitu kingine
The fact that mbunifu amesema hii nguo imechukua miaka miwili kuitengeneza na yeye ni moja kati ya upcoming wazuri tunao wategemea ina tufanya tujiulize je kama atapewa siku 5 za kutengeneza nguo atakuja na nguo gani?
Labda mwili wa Wema hauruhusu aina nyingine ya nguo, tunaelewa basi hata huku chini kwenye nguva kungepewa styles mbalimbali ambazo tunaziona wenzetu wanabuni kuliko kubadilisha tu rangi ya kitambaa na kuleta ubunifu uleule, we need to get out of our comfort zone na kuanza kufikiria mbele zaidi, kuwa wa tofauti thats what make’s you different na wengine.
Mfano wa style nguva iliyo kuwa spiced up ambayo ingeweza kuleta utofauti katika ili gauni.
Mac tunakutegemea hopeful uta take notes na kutuletea kitu kikubwa mbeleni.
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-in-mac-couture-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-in-mac-couture-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 84687 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-in-mac-couture-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-in-mac-couture-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 89148 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-in-mac-couture-dress/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 17678 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-in-mac-couture-dress/ […]