SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wema Sepetu In Traditional Nigerian Clothing – Yoruba
Mitindo

Wema Sepetu In Traditional Nigerian Clothing – Yoruba 

Juzi kulikuwa na Premiere ya movie ya Aunty Ezekiel iitwayo mama, watu maarufu wengi walihudhuria ambapo tulimtegemea pia mwanadada Wema Sepetu kwa bahati mbaya au nzuri alishindwa kufika katika premiere hiyo tunaita nzuri kwa maana angefunika wageni waalikwa lakini mbaya kwa sababu kashindwa kufika kum-support rafiki yake.

Kama kawaida inaonekana Wema na Aunty waliplan wavae sare ambapo walivaa Nigerian theme, Wema looked Absolutely Gorgeous on her outfit & makeup.  Imebidi tutafute ni kabila gani la huko Nigeria huvaa hivi na tukagundua ni Wa-Yoruba ambao wao hupenda kuvaa exquisite clothing ambazo zina kiashiria cha hali na utajiri.  Huvaa mavazi hayo katika  matukio maalum kama vile harusi au  mazishi.

Mfano wa Mavazi ya Kiyoruba ni

Gele – Hiki ni kitambaa cha jadi cha Nigeria ambacho wanawake hufunika kuzunguka vichwa vyao. Kuna tofauti nyingi za jinsi wanavyofunga Vitambaa hivi. 

Wema yeye alivaa carrot color Gele yenye stones, hii rangi ime mpendeza sana Wema it goes with her skin tone

  • Buba – Buba ni ile blouse ya juu ambayo huwa inakuwa loose kidogo na ina mikono mirefu, inaweza kuwa round au V neck. ambapo Wema yeye alivaa ya rangi nyeupe akamalizia na skirt yake ambayo ki-Nigeria huitwa Iro.

 

Wema alimalizia muoekano wake na a beautiful gold neck piece, alishika na feather hand fan uliyofanana rangi na gele lake na iko kitambaa alicho ning’iniza mkononi. We love this look on her it’s perfect done & worn

Hatuwezi kumaliza bila kutia neno kwenye make up yake, Makeup done by Lavie, we love love this make up.

Designer  | @elisha.red.label
MUA | @laviemakeup,
Photographer | @benardatilio

Gele, Fan & Neck Piece… cc @theafricancharm @accessoriesbycrystal .
.

Related posts

2 Comments

  1. therapist montclair nj

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-in-traditional-nigerian-clothing-yoruba/ […]

  2. earthbound magic truffle

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-in-traditional-nigerian-clothing-yoruba/ […]

Comments are closed.