Internet favorite girl Wema Sepetu ameamua ku-keep low key na maisha yake & alituaga na kutuambia she is taking a break na social media. Well seems like anaweza kuwa hapost lakini hio haija mfanya aache kufanya kazi zake na picha zake kuwa released.

Tunajua katika wabunifu wengi wa Tanzania Elisha Red Label ni moja kati ya wabunifu ambao wamefanya kazi nyingi sana na Wema Sepetu, na hii ndio collaboration yao mpya. Ni two pieces pink fits.

Wema amepungua sana na seems like she is all about exploring fashion kwa sasa, tumemuona in suits na sasa tunaona ameamia kwenye upande wa two pieces.

her makeup was done by Lavie Makeup

well how do you find muonekano huu mpya wa Wema Sepetu?

Comments

comments