Wema na Paula walihudhuria event ya Marioo ambapo alikuwa ana release album yake inayoitwa the kid you know. Event ilifanyika katika ukumbi wa mlimani city na wengi walihudhuria akiwepo chimama Wema Sepetu na Paula.
Wema alivalia red & black outfit hii outfit ina mambo mengi yaani ni very confusing inakila aina ya urembo its like designer hakujua aache kipi aweke kipi its alot to swallow, sleeves, appliques, feathes, sequin skirt na detached skirt “phew” too much.

Paula Kajala yeye alikuwa na gauni lake zuri tu, tatizo halikuendana na event, again tujue tunapoenda na kinachotakiwa kuvaliwa this was just a waste of a good dress.

Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-paula-failed-the-assignment/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-paula-failed-the-assignment/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-paula-failed-the-assignment/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wema-sepetu-paula-failed-the-assignment/ […]