SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wema Sepetu Wore A Sad Outfit Ever
Mitindo

Wema Sepetu Wore A Sad Outfit Ever 

Wakati tuna celebrate watu maarufu mbalimbali wakiwa wana upgrade mionekano yao seems like Wema yeye ameamua kuwa vice versa, akiwa anakuja na project kubwa mbili sisi tulitegemea kuona her look itaendana na kitu ambacho anakuja nacho but oh well wanasema “husipigie mahesabu pesa isiyokuwa mfukoni mwako” right? ndicho tulicho kiona kwa Wema.

Okay tunaweza kuseme hizi pieces ni nzuri lakini zikivaliwa tofauti, the color combo is odd, hii green silk blouse na hio pant ni tofauti unless angeiachia bila ya mkanda.

We call this outfit sad maana haina muelekeo hatuja jua alikuwa anaΒ  channel kitu gani hasa, we liked the makeup & hair but the outfit is not pretty, we wouldn’t wear that in 2018.

Related posts