SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WEUSI KUVALISHWA NA CUTRITEDESIGNS MSIMU WA FIESTA
Mitindo

WEUSI KUVALISHWA NA CUTRITEDESIGNS MSIMU WA FIESTA 

Its about time tumeanza kushirikisha watu wenye uwezo wa kuwa saidia wanamuziki wetu katika mavazi, hasa katika hizi tour za miziki. Ilikua kawaida kumuona msanii kapanda jukwaani ana kwambia hii nguo nilinunuaga ilikuepo tu nyumbani, au kaniletea rafiki yangu ndio nimevaa, lakini tume muona Maua akiwa ame sainiwa kuvalishwa na The stylist studio sasa habari nyingine ni Kundi la Weusi wata valishwa na Cutritre Designs

katika ukurasa wa Instagram cutriedesigns waliandika

14026574_163368764069914_623645969_n

@cutritedesigns – Tunayofuraha kubwa kuwafahamisha wapenzi woote wa msimu wa fiesta, na maswahiba woote wa kazi za Weusi, ya kwamba Jumba hili la utumishi wa nguo, limepewa dhamana ya kuwanogesha wanahiphop wenye asili ya acity katika show zao kuzunguka tanzania kwenye msimu huu wa fiesta..tunawatakia weusi kila la heri katika kila jukwaa litakalowapa fursa ya kukonga roho za wapenzi wa kazi zao @johmakinitz @gnakowarawara @nikkwapili. #cutritedesigns #watumishiwakokipamba #madeinsinzamugabe #kilanzastreet #nyumbanamba83 #0715279279
Hiki ni kitu kizuri hasa pale unapo mshirikisha mtu ambae ana jua kuhusu mitindo we cant wait for Fiesta 2016
baadi ya kazi za cutrite designs ni hizi hapo chini
13532008_299863917013802_1808668188_n 13743123_1778576122425627_97153868_n

Related posts

2 Comments

  1. original willy wonka

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/weusi-kuvalishwa-na-cutritedesigns-msimu-wa-fiesta/ […]

  2. เด็กเอ็น

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/weusi-kuvalishwa-na-cutritedesigns-msimu-wa-fiesta/ […]

Leave a Reply