SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Weusi Showing Us How To Rock Colorful Suit’s
Mitindo

Weusi Showing Us How To Rock Colorful Suit’s 

Kundi la wana hiphop kutoka Arusha liitwalo “Weusi”, kundi hili limeunganishwa na wanachama wanne Niki Wa Pili, Lord Eyes, Joh Makini Na G Nako Warawara.

Weusi wametuonyesha namna ambavyo unaweza kuvaa colorful suit kwa wanaume, ambapo walipost picha yao kwa pamoja wakiwa wamevalia suit za rangi kali kama Blue, Mint, Orange na Nyekundu (red).

Tumependa styling kwa sababu suit ni za rangi wamekuwa minimum na accessories, lakini pia design za hizi suit ni tofauti.

Afromates tupe maoni yako kwenye muonekano huu kutoka katika kundi la weusi

Related posts