SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

What Celebrities Wore On Valentines Day
Mitindo

What Celebrities Wore On Valentines Day 

February 14 dunia husheherekea siku ya wapendanao, ambapo wengi hupokea na kutoa zawadi lakini pia kutoka kwenda kwenye matembezi na kuvalia vyema. Watu maarufu mbalimbali huchukua muda wao kupiga picha na kutuonyesha nini wamevaa kwenye siku hio, na hawa ni baadhi ya ambao tumewaona.

fahyma served us two looks, long and short dress wakati Happiness Magese yeye alikuwa in co ord set

Lakini couples pia hazikuwa nyuma kutuonyesha namna ambavyo walisheherekea siku hii tulimuona G Nako na mkewe, Harmonize na Kajala lakini pia Vanessa Mdee na Rotimi

Tukitoka nje ya Tanzania tumeona watu maarufu kutoka Uganda, South Africa, Nigeria wakiwa wamesherekea siku hii kwa aina yake, Hapa tunao Spice Diana, Yemi Alade na Ini Dima-Okojie

South African’s wao walitu-serve some sexiness in lingerie, Mihlali Ndamase , Toke Makinwa & Ayanda Thabethe

well let us know which outfit was your favorite

Related posts