SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

What Colors To Mix With Mustard Yellow
Mitindo

What Colors To Mix With Mustard Yellow 

Inapokuja mda wa kusaidia watu wa expand sense ya style basi possible solution ni kuchagua rangi nzuri na patterns ambazo zitamfanya awe katika comfort zone. Mustard yellow ni aina ya rangi ambayo inamfanya mtu awe na natural beauty. Watu wengi wanasema mustard yellow ni moja ya rangi ambayo inaendana na rangi nyingi pia unaweza kuvaa kwenye misimu yote ya hali ya hewa, yoyote anaweza kuvaa rangi ya mustard yellow sababu haichagui rangi lakini pia ni rangi ambayo inaweza kuvaliwa na pande zote mbili wanawake na wanaume

Mustard yellow inaendana na kila rangi lakini zipo rangi ambazo mtu akivaa na mustard yellow anakuwa very powerful na anashine;

  1. Mustard yellow and black

Hii ni moja ya combination ambayo inaendana sana kama utavaa shirt au t-shirt ya mustard yellow basi chini vaa na skirt au trouser nyeusi na itakufanya uwe unique to the maximum. Watu maarufu wengi hupendelea kuvaa mustard yellow na black ili kupunguza attention kidogo na kumfanye awe classic casual with a little attention detail

  1. Mustard yellow and brown ( cognac , chocolate and camel color)

Utajiuliza kwanini brown wakati unajua brown ni moja ya rangi inayochanganya sana kuna aina nyingi za brown na ni vigumu kutofautisha, lakini kwenye hizi utaelewa kati ya chocolate brown na camel color. Kama umeshawai kuona sehemu brown inakuwa na ubora basi ni kwenye mustard yellow ukiweza kuchanganya brown na mustard yellow utapendeza sana na kukufanya uonekane stylish. Unaweza kuvaa dress ya brown then ukaongezea na kimono cha mustard yellow. Pia unaweza kuvaa trouser ya brown na t-shirt au top ya mustard yellow. Kama wewe ni mpenzi wa Bruno Mars basi kwenye leave the door open alivaa koti la camel color na t-shirt ya mustard yellow na akawa perfect.

  1. Mustard yellow and blue

Hii combination ni mchanganyiko wa primary and tertiary color kwa pamoja na inafanya ukivaa nguo za rangi hii uonekane kwa Urahisi ataukiwa wapi. Mustard yellow and blue color haiwezikuwa accent shades kwa sababu inakufanya uonekane classic, sex ,accouterments kwa muda mmoja na sometimes unaweza kuwa counter fashion sababu unakuwa different na watu wengi sana.

  1. Mustard yellow and white

Ni favorite kwa wazungu wote na ni moja ya kitu ambacho wazungu wanapenda sana kuvaa sababu itamfanya mtu yoyote akimuona awe na attention yote unaambiwa 100% ya wanawake wote wanaovaa nguo zenye rangi ya mustard yellow na white 😄 ni maboss kwa lugha ya kimtaani ni rich auntie.

Unaweza kuchagua mwenyewe ni combination gani inakufaa kuvalia na mustard yellow but usisahau ukivaa upige picha then ututag kwenye account zetu za social media.hopeful umeenjoy na umejifunza kupitia article hii Asante.

Imeandikwa na @gotchathegreatest

Related posts