SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

What Nigerian Celebrities Wore At Lagos Fashion Week 2023
Mitindo

What Nigerian Celebrities Wore At Lagos Fashion Week 2023 

Lagos fashion week hufanyika kila mwaka kuanzia tarehe 26 mpaka 30 mwezi wa kumi, watu maarufu huwa wanhudhuria na kuangalia nini designers wameandaa na wengi wao hufika wakiwa wamependeza mno, na tupo hapa kukuletea kilichojiri mwaka huu na nani alivaa nini.

Designer Mimi Yina au Medlinboss akiwa kwenye hii pale orange blazer dress yenye statement neck piece, amemalizia muonekano wake na silver small handbag na pale orange heels, A Lewk. Prince Nelson Enwerem akiwa amevalia black and white look amemalizia na orange coverup, miwani na tie this is how you step on a fashion week. Alex Unusual yeye akiwa kwenye orange sequin mini skirt amemalizia muonekano wake na orange & white top yenye statement shoulders na brown bag & orange strap heels.

Content creator Nonye Udeogu yeye alikuwa in a black, white & pink look, Chioma Good Hair served couture akiwa amevalia full black look huku Idian Aisien akiwa amevalia full look ya blazer dress ya sequin.

Banky W & Adesua Wellington matching looks as a wifey & hubby, Tubobereni looked chic in a blue look wakati Olivia Arukwe akiwa ame mix pink & green look.

Tuambie look ya nani umeipenda zaidi?

Related posts