SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

What Not To Wear To An Interview
Mitindo

What Not To Wear To An Interview 

Umeshasoma articles nyingi sana za kitu gani uvae katika job interview ila tumesahau kukumbusha vitu gani hautakiwi kuvivaa. Haijalishi unaenda kufanya interview kwenye aina gani ya kampuni, cha muhimu kufanya ni kujua ni aina gani ya interview unayoenda kufanya. Kwenye job interview hivi ni vitu vya kuepuka

• Heavy perfume or cologne

Asikuambie mtu kama kwenye mazingira ya kawaida tu mtu akiwa kapaka too much perfume or cologne anakukera je kwenye job interview itakuwaje. Kitu cha kwanza ni kupaka cologne ambayo itakufanya uwe unique na haitomkera mtu. Too much perfume inaweza ikakufanya ukose kazi. Kuna kitu ambacho hamjui cologne or perfume inamtambulisha mtu kwa jinsi gani anavyonukia so ukinukia too much itakufanya wakujudge vibaya na ukose kazi kitu cha muhimu nukia vizuri na kawaida.

• A lot of accessories

Accessories ni muhimu sana kwenye interview but sio nyingi kama mwanamke anayejielewa na kujua professionalism yake basi anatakiwa akienda kwenye interview hatakiwi awe too much accessories unaenda kwenye interview ya kazi na sio matembezi ya kawaida au harusini, hakikisha unavaa accessories simple tu. Vaa simple saa simple, minimum accessories kama mkufu, hereni au bangili. Just imagine umeenda kwenye interview umevaa macheni kama matano, bracelet tano na watches kwa akili ya kawaida tu hata awe nani lazima akudefine vibaya so try to avoid a lot of accessories.

• Wrinkled, torn, or ill-fitting garments

Hizi aina ya nguo zinafanya uwe distracting and give the impression that you are not detail-oriented. Avoid garments that feel uncomfortable or restrictive, unatakiwa uvae vitu ambavyo utakuwa able to move comfortably and confidently during the interview. Nguo za michano yani crazy jeans na nguo zenye mikunjo mikunjo ni vitu vya kuepuka sana.

Pia usisahau kuvaa nguo ambazo hazitokubana sana na kukufanya uwe flexible na kufanya chochote kwenye interview maana unaweza ukaulizwa hobbies zako ni zipi ukasema sport ukaambiwa ukimbie na ukashindwa.

• An outfit that doesn’t match the brand or culture of the company you want to work for H

iki ni kitu muhimu sana cha kuangalia katika interview hauwezi ukaenda kufanya job interview sehemu ambayo haujui wanavaa aina gani ya nguo au na culture ya kudress aina gani ya nguo. Unatakiwa ujue in deep hiyo organization wanapenda mtu avae aina gani ya mavazi hauwezi kwenda kwenye interview ya fashion blog ukavaa kama unaenda kuomba kazi hotelin so consider outfit ambayo inaendana na hio company.

• A combination of radically different patterns, colors, textures

Katika kitu cha kizingatia sana kwenye interview ni hiki usiwe umevaa nguo yenye marangirangi mengi na iwe na patterns nzuri na inayompendeza kila mtu wa kila lika hauwezi ukaenda kwenye interview upo colorful tena kwa rangi ambazo hazija pangiliwa vyema utaonekana wa ajabu sana na mtu ambae haujielewi.

• athletic shoes

Kuna baadhi ya watu wwanachukulia poa hawajui aina ya shoes basi usivae, athletic shoes kwenye interview please kwa sababu utaonekana ni mtu wa ajabu. Unatakiwa ujiandae vizuri kwa kuvaa viatu mbavyo ni classic na kuonekana upo smart kwa watu wanaokuuliza maswali ya interview.

Kuna vitu vingi sana ambavyo hautakiwi kuvaa kwenye job interview ila hivi ni baadhi ambavyo vitakufanya uondoe attention mbaya na kukufanya uwe na confident kipindi unaenda kufanyiwa interview kwa sababu unajua upo perfect.

Imeandikwa na @gotchathegreatest

Related posts