Well, well as we know it is another season to be jolly. Christmas kwa upande wetu wa Tanzania as to everyone else duniani ni muda wa watu wa imani ya kikristo kuja pamoja kusheherekea siku hii muhimu.
Hapa tunawaletea tips za nini cha kuvaa wakati wa Christmas
Kwanza kabisaaa…,Angalia wapi utakua siku hiyo, kama upo na familia sio mbaya kuvaa nguo isiyo fupi saaana, isiyobana na itakayokufanya uwe comfortable kabisa. Sio lazima nguo iwe ndefuu sana ila ikiwa na long au mid sleeve itakua poa sanaa
Kumbuka hii ni sikukuu ya kidini sio mbaya ukaweka suruali ya jeans mbali kidooogo. Hapa unaweza kutupia jumpsuit yako, Unaweza Kuvaa na heels fupi za kawaida ama flats.
Rangi za nguo itapendeza ukivaa Metallic colors ila hata ukivaa za kuendana na siku, yaani zile nyekundu na kijani sio mbaya, its all about the Christmas spirit riight?
Kumalizia na a very simple make up na accessories chache kama saa, hereni za studs na simple necklace.
Imeandikwa na @sof_iyah
We hope this helps.
Je umeshajua nini utavaa for Christmas??
Leave a comment below
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/what-to-wear-on-christmas-season/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/what-to-wear-on-christmas-season/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/what-to-wear-on-christmas-season/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/what-to-wear-on-christmas-season/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/what-to-wear-on-christmas-season/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/what-to-wear-on-christmas-season/ […]