SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

What To Wear To Swahili Fashion Week 2018
Mitindo

What To Wear To Swahili Fashion Week 2018 

Tulikuwa tunahesabu miezi, ikaja siku na sasa tunahesabu masaa kufikia Swahili Fashion Week, yes leo kuanzia saa moja na nusu pale National Meseum kutakuwa na varangati na kuona who,wore what katika Swahili Fashion Week lakini pia nani kashinda nini na nani katuletea nini kwenye runway ya fashion week ( as you can tell we are so excited).

Well kama bado hujajua unavaa nini au uvae nini katika Swahili Fashion Show au any fashion show ambayo utaenda kuhudhuria basi hizi ni tips chache za wewe kujua unaweza kuvaa nini kwenye fashion show

  • Keep it casual & stylish 

As much as tungependa kuona nguva’s pale lakini kama huendi kupokea award basi keep it casual, by casual hatumaanishi uvae kama unaenda sokoni, vaa vizuri simple and pendeza unaweza kutupia statement accessories kama belts, clutch, shoes blazer etc to spice up your look.

  • Mtafute Fundi Cherehani

Umependa outfit ambayo kidogo kubwa kwako? mtafute fundi Juma mzuri aipunguze kama ni ndogo sana jaribu kutafuta plan B kumbuka its a fashion event na kuna Camera kila mtu atakuwa ana judge nani kavaa nini, you don’t want to be a new meme on social media.

  • Usitumie Pesa Nyingi

Kuna wale ambao lazima wavae nguo mpya, well don’t spend too much on something utavaa mara moja, kama unataka kununua something new na expensive hakikisha unaweza kukivaa tena na tena sio tu uvae kwa ajili ya fashion show halafu ukining’inize kwenye kabati. You don’t have to spend a fortune style what you have already and make them look red carpet worth look

  • Sunglasses Are Cool For Red Carpet Only 

 

Kwa wale wapenda kuvaa glasses ku-show off a diva sides of them, zina compliment outfit yako na kuonekana fashionable zaidi lakini unapo ingia ndani please take them off as show ni usiku na hutoona rangi za nguo vyema, let them go let them go.

  • Bring Out Those Shoes

Kama unavile viatu ulinunua for special occasions sasa ndio muda wa kuvitoa na kuvivaa, The shoes will be grabbing as much attention as the coats and the dress, kama ni heels ni vyema ukajaribu kuvifanyia mazoezi nyumbani kabla hujaanza safari or else tafuta rafiki wa kwenda nae ambae atakupa support ya kukushika mkono, kama si mpenzi wa heels unaweza kuvaa statement sneakers,flats etc, na statement inaweza kuwa kwenye rangi na design

Fashion Fix : How To Wear Sneakers With Ball Dress Just Like Rihanna And Kelly Rowland

  • Accessories Are Important

Tumesema sunglasses are not allowed wakati wa event lakini kwenye carpet ni sawa kuvaa, chachua outfit yako kwa kuongezea accessories kama belt, miwani, coat, necklace, hereni, bracelets na accessories nyingine ambazo unazo na zinaendana na mtoko wako wa siku hio, kama sio mzuri on accessorizing keep it low-key usitake kujaribu kitu kipya kwenye event kubwa kama hii

On A Lazy Day Accessorize Your Outfit With Bright Colors

  • Go for the Sophisticated Look

I said sophisticated, not slutty, showing off something can be done correctly kama kuna kitu kina turn off kwenye swala la mavazi hasa sehemu yenye watu wengi ni wale wanaovaa nguo ambazo zinaonyesha viungo vyao sana, too short au too much cleavage halafu mwenyewe anakuwa hayupo comfortable anajaribu kuishusha shusha au kuirekebisha, kama umeamua kuvaa hivyo at least own your mistakes.

  • Don’t Try New Trend 

Sote tunapenda kuonekana tunakwenda na wakati & what a better way ya kujionyesha kama sio kwenye red carpet tena ya ya fashion show? ni sawa kuvaa trend lakini vaa zile ambazo umeshawahi kuzijaribu, don’t dare kujaribu kitu kipya kwa mara ya kwanza kwenye red carpet sweetheart you gonna be the talk of the town.

  • Kuwa wewe

Usitake ku-complicate mambo na kujaribu kuwa mtu mwingine most of the times kwenye events kama hivi watu wakawaida wanataka ku-compete na watu maarufu well its very okay kama utakuwa wewe na ku-compete nao lakini ukijaribu kuwa something you’re not, as we said don’t spend too much money on one day event for the sake ya kumfunika mtu maarufu au kuonekana kama mtu maarufu fulani, watu wote macho yao yatakuwa kwa watu maarufu unaweza kuvaa stylish kuendana na event na ukawa noticed pia, most of the camera man’s hawanaga muda na watu wa kawaida unless uwe na kiherehere na mavazi yako.

matumaini yetu tumekusaidia kujua nini ufanye na nini usifanye wakati wa ku-attend katika SFW leo.

 

Related posts

3 Comments

  1. youtube video download mp4

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/what-to-wear-to-swahili-fashion-week-2018/ […]

  2. penis prosthetic big penis big prosthetic big dildo erect penis prosthetic

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/what-to-wear-to-swahili-fashion-week-2018/ […]

  3. buy Iboga pills in Canada,

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/what-to-wear-to-swahili-fashion-week-2018/ […]

Comments are closed.