SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

What To Wear To Tanzania Red Ribbon Fashion Gala
AfroTipAndTricks

What To Wear To Tanzania Red Ribbon Fashion Gala 

Ni siku chache zimebaki kufika siku ya Tanzania Red Ribbon Fashion Gala, kwa wale ambao hamjui hii event inahusiana na nini, Event hii ilianzishwa mwaka 2007 na mbunifu Khadija Mwanamboka. Lengo kubwa la hii event ni kusaidia kuhamasisha na kusambaza taarifa kuhusu World Aids Day kupitia Fashion Na Pesa Zinazopatikana Zinaenda Kusaidia Kuwapa Ujuzi Watu Wenye Ulemavu Pamoja Na Wenye Uhitaji.

Dress code katika hii event ni formal black Or red wakati kwa wanaume ni red tie au red blazer, tupo hapa kukuonyesha ideas za nini unaweza kuvaa katika hii event. Ikiwa ni event ya charity tungekuomba uepuke kuvaa mavazi ya ajabu ni more of a classy event na tunategemea classy looks.

 • Je unahitaji kuvaa gauni refu mpaka chini?

Hapana si lazima kuvaa gauni refu mpaka chini lakini pia haikatazwi kama ukitaka kuvaa unaweza kuvaa, kuna option mbalimbali kama lifikie magoniti au juu ya magoti ( kama upo comfortable), unaweza kuvaa mid length etc hakikisha iko formal na ni comfortable.

Kama ungependa kuvaa gauni refu basi liwe na slight train au dipped hem at the back usiweke train ndefu utadhani ni look ya award ceremony

 • Lakini je nilazima uvae gauni?

Si lazima uvae gauni unaweza kuvaa chochote kutokana na upendavyo ila tu uende na theme na hio ni formal dress or black or you can do both.

Note: Kumbuka kutokuwa too formal wala too much be in the middle.

Related posts

5 Comments

 1. Charter Arms USA

  … [Trackback]

  […] Here you will find 64324 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/what-to-wear-to-tanzania-red-ribbon-fashion-gala/ […]

 2. liberty cap mushrooms oregon

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/what-to-wear-to-tanzania-red-ribbon-fashion-gala/ […]

 3. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/what-to-wear-to-tanzania-red-ribbon-fashion-gala/ […]

 4. Darknet market links list 2023

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/what-to-wear-to-tanzania-red-ribbon-fashion-gala/ […]

 5. David Bolno

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/what-to-wear-to-tanzania-red-ribbon-fashion-gala/ […]

Comments are closed.