SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

#Whatstrending- SUIT X BRALETTE
Mitindo

#Whatstrending- SUIT X BRALETTE 

Kinacho onekana kushika akili za watu katika swala zima la mavazi sasa hivi ni bralette na suit, kwa wale ambao hamjui bralette ni nini, Bralette ni zile blazia zisizo kuwa na wire na zile cups za kuboost maziwa hizi ni nyepesi japo kuna nyingine nzito lakini nyingi ni nyepesi na kitambaa chake ni cha lace.

Back to Bralette na suit ni kwamba ukiwa una pitia mitandao ya kijamii kila uki scroll down una kutana na mtu kavaa kwetu tuna sema yes to this trend kwa sababu ina pendezesha watu efortless yaani haina mbwembwe nyingi lakini pia kama una tumbo kubwa usijaribu kuvaa labda kama utafunga vifungo in which ina bidi uwe more stylish na jinsi utakavyo style ili brallete ndani ionekane hawa ni baadhi ya walio tuvutia na trend hii

Seretix ambae ni Fahionista pia ameonekana ku stand out na trend hii kwa kuvaa mix up prints ambayo imekaa kama suit na bralettte nyeusi

Make up artist na fashionista Fauzia Abdulkadir A.K.A fawwie yeye alionekana in creamy satin suit na blarette nyeusi we love love this look on her, ame accessorize less, make up ipo on point na the bun up ime fanya uso wake uonekane vizuri kabisa nothing less nothing more just perfect

Karrueche yeye ali vaa trend hii na satin suit nyekundu aka match na bralette yake ila bralette rangi ika koza kidogo hapa alikuwa ame attend katika the 2017 iHeartRadio Music Awards

Related posts

5 Comments

  1. anonymous

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/whatstrending-suit-x-bralette/ […]

  2. mossberg 590 shockwave

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/whatstrending-suit-x-bralette/ […]

  3. Best Psychedelic Store Australia

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/whatstrending-suit-x-bralette/ […]

  4. Click Link

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/whatstrending-suit-x-bralette/ […]

  5. Medicijnen bestellen zonder recept bij Benu apotheek vervanger gevestigd in Zaanstad

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/whatstrending-suit-x-bralette/ […]

Leave a Reply