Kama katika tembea tembea zako katika mitandao ya kijamii au katika mazingira yako hujakutana na mtu amevaa white pumps let us ask you ” Girl who are you following”?, White Pumps zimekuwa zikitrend kwa muda sasa na tunaweza kusema ni moja ya trend ambayo hatuoni kama itakuja kuwa tacky mwishoni.
Okay lets face it ni kweli white pumps ni moja ya viatu ambavyo wengi tunavichukulia vipo outdated, sasa hivi watu wanapenda sana nude, silver, black au colorful pumps but tunaweza kusema white pumps ni moja ya classic pair kuwa nayo. Kama ambavyo tunajua rangi nyeupe ina classy fulani ndani yake ukivaa unaonekana msafi, uko pure etc. Tumekuwa tukiwaona baadhi ya fashionista’s, fashion blogger, models na wengine wengi wakivivaa na wakatuvutia.
Kizuri kuhusu white pumps ni kama nude pumps, zinavalika na chochote na unaweza kuingia navyo popote Kama ambavyo hapa fashionista Lavidoz alivyo amua kuwa chic na casual outfit yake kwa kuvaa her 1,650,390/- Christian Louboutin White Pumps na blue skin jeans akiwa amemalizia na statement white top.
Lakini pia mwanamitindo Flaviana Matata alionekana akiwa anaenda katika event iliyo andaliwa na Vogue na Saks akiwa amevalia a little floral dress yenye weupe na nyekundu, akiwa amemalizia muonekano wake na white pumps miwani na hereni huku akiwa amebeba burgundy & Gold Chloe Cossybody Bag yenye thamani ya Milioni 3’242’527.35
- The Hit Bag Chloe Nile Small Bracelet Crossbody Bag
- Ini Edo Carrying A Chloe Bag That Worth Tzs 3’242’527.35
Lakini pia tumemuona Nigeria fashion Blogger Stella Uzo. A. wa Jadore Fashion akiwa amevaa viatu hivi mara nyingi lakini tumependa zidi hii outfit ambayo alikuwa colorful amevaa pencil skirt ya njano na white top akiwa amemalizia na white pumps unaweza kutafuta rangi nyingine na ukaingia nayo kazini.
Kama ambavyo tulisema awali hivi viatu vinavalika popote na chochote, unaweza kuvivaa na skirt, gauni, suruali n.k inategemea na wapi unapo taka kwenda na nini ambacho ungependa ku-achieve, tuambie maoni yako kuhusu hii trend.
Related posts
8 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/white-pumps-are-the-classic-pair-of-shoes-to-own-right-now/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/white-pumps-are-the-classic-pair-of-shoes-to-own-right-now/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/white-pumps-are-the-classic-pair-of-shoes-to-own-right-now/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/white-pumps-are-the-classic-pair-of-shoes-to-own-right-now/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 57086 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/white-pumps-are-the-classic-pair-of-shoes-to-own-right-now/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/white-pumps-are-the-classic-pair-of-shoes-to-own-right-now/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/white-pumps-are-the-classic-pair-of-shoes-to-own-right-now/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/white-pumps-are-the-classic-pair-of-shoes-to-own-right-now/ […]