SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WHITE SHIRT WORK OUTFIT IDEAS
Mitindo

WHITE SHIRT WORK OUTFIT IDEAS 

Kama kuna vazi ambalo ni muhimu kuwa nalo katika kabati lako ni shati jeupe, Kitu kizuri kuhusu shati jeupe ni kwamba lina weza kuwa style mara nyingi iwezekanavyo, ina weza kuvaliwa na skirts, suruali, pensi nk. Ni moja kati ya vazi ambalo ni multipurpose na kisha ukivaa shati jeupe unaonekana smart na unajielewa it always gives that shine ambayo mtu lazima akuangalie mara mbili

leo tunakuletea ideas hizi za kuvaa shati lako kazini

SHati jeupe, skater skirt na heels, bila kusahau accessories toa mawani bana nywele zako vizuri na utapendeza zaidifashion-2015-11-white-shirt-outfit-ideas-date-flare-skirt-heels-pink-peonies-main

ruffle skirt, shati jeupe na mid heels fashion-2015-11-white-shirt-outfit-ideas-date-statemenet-top-ruffle-skirt-getty-images-main

high waist trouser, shati jeupe, blazer, heels na handbagfashion-2015-11-white-shirt-outfit-ideas-work-tweed-blazer-black-pants-getty-images-main

shati jeupe, cream skirt, heels

fashion-2015-11-white-shirt-outfit-ideas-work-white-pleated-skirt-getty-images-main

women-outfit-with-white-shirt7

 

 

Related posts