SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

White Sneakers Zinavyo Trend Kwa Sasa
Mitindo

White Sneakers Zinavyo Trend Kwa Sasa 

Kitu kimoja kuhusu trends ni kwamba zinajirudia, the white sneakers zilipotea kuna kipindi lakini zimerudi tena kwa kasi ya 4g, kila fashionista, watu maarufu na watu wa kawaida wameonekana kuvutiwa na trend hii, we are loving this new edition ya jinsi zinavyokuwa styled namna tofauti tofauti hasa zinavyo valiwa na suit, just perfect.

Kitu kikubwa ambacho tumeipendea hii trend ni kwamba inaingia katika jinsia zote wanaume kwa wanawake wote wameonekana kuvutiwa nayo na kuvaa hivi viatu

Unaweza pia kuvaa casual na suruali, short pants skirt au gauni pia,

Tumesha waona watu maarufu mbalimbali wa ndani na nje ya Nchi wakiwa wamevutiwa na trend hii

Diamond PlatnumzΒ  yeye alionekana akiwa amevalia trend hii na floral two pieces akimalizia na denim jacket

Wengine walionekana kuvalia hii trend ni mwanamitindo Flaviana matata ambae yeye ameonekana kuvivaa mara nyingi awezavyo

ma-model Lilian Loth na Sia Pius nao hawakuwa nyuma katika kustyle trend hii

Well tulipewa tip na homehouseofshoes_tz ya jinsi ya kuvijali viatu hivi soma hapo chini

View this post on Instagram

White converse Ni raba ambayo kila mtu anatakiwa kuwa nayo mana Ni timeless…yani ipo years n years Ila watu wengi wanaogopa kuwa nayo sababu ikichafuka Ni ngumu kuisafisha bila kubaki na unjano njano Njia za kusafisha white converse 1.Fungua kamba zake zioshe kivyake 2.Tumia sabuni nzuri ya unga kuziosha raba zako 3. Zisuuze Na Maji yanayotiririka mara nyingi kuhakikisha zimetoka Mapovu yote 4. Changanya banking soda Na vineger kisha paka kwenye viatu ili kuondoa uchafu sugu 5. Zisuuze tene Unatakiwa kuzianika apa ndipo tatizo hutokea wakati wa kukauka zinaweza badilika rangi sababu ya direct sunlight ucjali Fanya yafuatayo Zikiwa bado mbichi zipake unga wa ugali Na uzianike au Zizungushie toilet paper kwenye raba zako Kamwe hazitabadilika rangi

A post shared by House Of Shoes (@homeofshoes_tz) on

Related posts